Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
1 Wakorintho 1:26
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndugu zangu, kumbukeni mlivyokuwa Mungu alipowaita. Si wengi mlikuwa na hekima kwa kipimo cha kibinadamu. Si wengi mli kuwa na vyeo na si wengi mlikuwa wa jamaa za kifahari.
Read full chapter →
Compare all translations →