1 Wakorintho 1:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana ujumbe wa msalaba ni upuuzi kwa watu wanaopo tea. Lakini kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.