1 Wakorintho 1:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndiyo nakumbuka, pia niliwabatiza Stefano na watu wa nyumbani kwake. Lakini zaidi ya hao sikumbuki kama nilimbatiza mtu mwingine.