1 Wakorintho 1:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana ndugu zangu, nimepata habari kutoka kwa watu wa nyumbani kwa Kloe kwamba kuna ugomvi kati yenu.