1 Timotheo 4:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Usijishughulishe kabisa na hadithi zisizo za kidini ambazo hazina maana. Jizoeze kuishi kwa kumcha Mungu.