1 Timotheo 4:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mafundisho hayo yanaletwa na wanafiki waongo ambao dhamiri zao zimekufa kama vile zimechomwa kwa chuma cha moto.