1 Timotheo 3:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana kama mtu hawezi kuitawala nyumba yake mwenyewe atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu?