1 Timotheo 3:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi, askofu awe mtu asiye na lawama. Awe mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtaratibu, mkarimu na aju aye kufundisha.