1 Timotheo 3:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Shemasi awe mume wa mke mmoja; na aweze kuwatawala watoto wake na jamaa yake vema.