1 Timotheo 2:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo, nataka kila mahali wanaume wasali wakiinua mikono iliyotakaswa pasipo hasira wala mabishano.