1 Timotheo 2:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mwanamke ataoko lewa kwa kuzaa, kama ataendelea kudumu katika imani, upendo na utakatifu, pamoja na kujiheshimu.