1 Petro 3:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Msi lipe ovu kwa ovu, au tusi kwa tusi; ila barikini kwa maana hili ndilo mliloitiwa na Mungu, mpate kurithi baraka.