1 Petro 3:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini hata kama mtateseka kwa ajili ya haki, mtabarikiwa. Msiogope vitisho vyao wala msiwe na wasiwasi,