1 Petro 1:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Furahini sana katika hilo, ingawa sasa kwa kitambo kidogo ni lazima mpate majaribu ya kila aina.