1 Petro 1:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nanyi, kwa imani, mnalindwa na nguvu ya Mungu mpaka utakapofika wokovu ambao uko tayari kufunuliwa wakati wa mwisho.