Yuda 1:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndivyo walivyo hawa watu. Ndoto zao huwaongoza wachafue miili yao, wasitii mamlaka; na watukane viumbe watakatifu walioko mbinguni.