Yuda 1:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi, utukufu ni wake yeye awezaye kuwalinda msianguke na kuwafikisheni bila hatia mbele ya utukufu wake mkiwa na furaha.