Yuda 1:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu hawa ndio wanaosababisha mafarakano, watu wafuatao tamaa za dunia, wasio na Roho wa Mungu.