Yohana 9:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baadhi ya Mafarisayo waliomsikia akisema hivi wakauliza, “Je, unataka kusema kuwa sisi pia ni vipofu?”