Yohana 9:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tunajua ya kuwa Mungu hawasikilizi wenye dhambi, lakini huwasikiliza wote wanaomwabudu na kumtii.