Yohana 9:25

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akawajibu, “Kama yeye ni mwenye dhambi au sio, mimi sijui. Lakini nina hakika na jambo moja: nil ikuwa kipofu na sasa naona.”