Yohana 9:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
wakawauliza, “Je, huyu ni mtoto wenu ambaye alizaliwa kipofu? Ikiwa ndiye, imekuwaje sasa anaweza kuona?”