Yohana 8:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipoendelea kumwulizauliza akainuka, akawaambia, “Asiyekuwa na dhambi kati yenu awe wa kwanza kumtupia jiwe.”