Yohana 8:59

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo wakainua mawe wamwue; lakini Yesu akajificha wasim wone; akatoka Hekaluni.