Yohana 8:57

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, itawezekanaje uwe umemwona Ibrahimu?”