Yohana 8:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mnataka kuniua kwa sababu nimewaambia maneno ya kweli niliyosikia kutoka kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya jambo la namna hii!