Yohana 8:35

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtumwa hana haki ya kuishi siku zote katika nyumba anapotumika, lakini mwana ana haki zote katika nyumba ya baba yake.