Yohana 8:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo Yesu akawaambia wale waliomwamini, “Kama mkiendelea kutii maneno yangu mtakuwa wanafunzi wangu halisi.