Yohana 5:43

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu na mnakataa kunipokea. Lakini mtu mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea.