Yohana 5:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mliwapeleka wajumbe wenu kwa Yohana, naye akashuhudia iliyo kweli.