Yohana 5:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
ili kila mtu amheshimu Mwana kama amheshimuvyo Baba. Ye yote anayekataa kumheshimu Mwana, anakataa kumheshimu Baba aliyemtuma.