Yohana 5:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni sabato. Huruhusiwi kubeba mkeka wako.”