Yohana 19:41

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Karibu na pale walipomsulubisha palikuwa na bustani yenye kaburi ambalo lilikuwa halijatumika.