Yohana 19:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Naye Nikodemo, yule ambaye alimwen dea Yesu kwa siri usiku, alikuja na mchanganyiko wa manukato zaidi ya kilo thelathini.