Yohana 19:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ila askari mmoja akamchoma mkuki ubavuni, na mara pakatoka damu na maji.