Yohana 19:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya kuipokea hiyo siki, Yesu akasema, “Imekwisha.” Akainamisha kichwa, akakata roho.