Yohana 19:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya haya Yesu alifahamu ya kuwa mambo yote yameka milika, kwa hiyo, ili kutimiza Maandiko, akasema, “Naona kiu.”