Yohana 19:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alipomwona mama yake na yule mwanafunzi aliyempenda wamesimama karibu, alimwambia mama yake, “Mama, huyo ni mwanao!”