Yohana 19:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Askari wakasuka taji ya miiba wakamwekea Yesu kichwani, wakamvika na kanzu ya zambarau.