Yohana 19:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hapo ndipo walipomsulubisha. Pamoja naye walisulubishwa watu wengine wawili, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia wa Yesu.