Yohana 17:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
kwa kuwa nimewapa ujumbe ulionipa, nao wameupokea. Wamefahamu hakika ya kuwa nimetoka kwako na wameamini kwamba ulinituma.