Yohana 17:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa ajili yao nimejitoa wakfu kwako ili na wao wapate kuwa watakatifu kwa kufahamu kweli yako.

Yesu Anawaombea Watakaoamini Baadaye