Yohana 15:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda, Baba yangu hulikata; na kila tawi lizaalo, yeye hulisafisha ili lipate kuzaa matunda zaidi.