Yohana 15:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mkizishika amri zangu mtakaa ndani ya pendo langu kama mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.