Yohana 14:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama mngekuwa mnajua mimi ni nani, mngemfahamu na Baba yangu. Tangu sasa mnamfahamu Baba yangu na mmemwona.”