Yohana 14:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninawaachia amani. Nawapeni amani yangu; amani hii ulimwengu hauwezi kuwapa. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiogope.