Yohana 14:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu asiyenipenda hayashiki mafundisho yangu na mafundisho niliyowapeni si yangu bali yametoka kwa Baba yangu aliyenituma.