Yohana 14:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yuda, siyo Iskariote, akamwuliza, “Bwana, itakuwaje ujidhihirishe kwetu tu na si kwa ulimwengu mzima?”