Yohana 13:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nina waachia amri mpya: pendaneni ninyi kwa ninyi. Kama mimi nilivy owapenda, na ninyi mpendane vivyo hivyo.