Yohana 13:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo mara baada ya kupokea ule mkate, Yuda alienda zake nje. Wakati huo giza lilikwisha ingia.

Yesu Anatabiri Kuwa Petro Atamkana